Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Kuna video nimeiona kwenye ukurasa wa Twitter wa Maulidi Kitenge ikimuonesha Rais wa Nigeria Mheshimiwa Tinubu akianguka chini wakati akitaka kupanda gari. ambapo ni kama...
2 Reactions
17 Replies
183 Views
Wakuu natafuta chat gpt ambayo kwene iphone ni free?? hii ninayoijua n ya kulipia ila ni free kwene browser
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃
7 Reactions
50 Replies
602 Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
20 Reactions
120 Replies
4K Views
Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza...
5 Reactions
9 Replies
366 Views
Pichani Madonna na mtoto wake Banda aliye mchukua kwenye kituo cha watoto yatima nchini Malawi Akiwa na miezi 13 sasa amekuwa kijana mkubwa.
15 Reactions
85 Replies
4K Views
Rais wa Senegal, Bassirou Faye amesema faida itakayotokana na mauzo ya mafuta na gesi "itasimamiwa vyema" wakati taifa hilo la Afrika Magharibi likianza kuzalisha mafuta kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
61 Views
Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema. Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili...
19 Reactions
152 Replies
39K Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo. Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
1 Reactions
12 Replies
108 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,738
Posts
49,864,840
Back
Top Bottom