Iwe kweli au uongo kwa kiongozi wa umma tena Mkuu wa Mkoahutakiwi hata kuhisiwa! Sio tu kufanya hata hivyo anapaswa kuwajibika.
Lazima tulinde na kuheshimu dhamana tunazopewa kutetea hili kuwa ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National...
Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia...
... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘
"Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.