CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
Utangulizi.
Ninapenda kumshukuru Mungu kwa fursa hii ya kushiriki mawazo yangu katika jukwaa hili la JF - Stories of Changes. Leo, ninapenda kushiriki maoni yangu kuhusu sekta yetu ya afya, ambayo...
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA
Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki,
kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga...
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu...
Kwako,
Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan,
Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia...
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
Kila Mwanajeshi ninayekutana nae wa Uganda ( hasa Maafisa ) na Wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na Wakubwa Wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.