Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe.
Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake.
Huyu mwanamume...
Ni aibu sana serikali kukubali kuwekwa mfukoni mwa Tapeli. Wananchi wanatapelliwa Kwa matapeli kutumia jina la Waziri Mkuu, Kwa Jina la Rais wa Zanzibar na Kwa jina la Rais Samiah. Lakini hakuna...
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm...
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu Cha kipato, Yani mwanamke Hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu
1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa
Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali...
Habarini wadau wote wa JF mimi kijana wa 25-26 nataka mwana dada 18-24 wa kuoa mwenye elimu yeyote awe na biashara au kazi yeyote mjanja wa towm hapa dar es salaam
mimi form 4...
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.