Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
2 Reactions
11 Replies
86 Views
Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi...
7 Reactions
35 Replies
297 Views
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
1 Reactions
44 Replies
308 Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
73 Reactions
245 Replies
7K Views
Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa. Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!?? Lakini pia Kuna jambo...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National...
6 Reactions
13 Replies
90 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Hii ni kauli tunaisubiri mwaka 2035 toka kwa moja ya viongozi wa nchi hii. Imekuwa kawaida kukumbuka makosa wakati kumesha kucha. Rais mkapa aliwahi kukiri kwamba alifanya makosa kubinafisha...
4 Reactions
5 Replies
143 Views
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa.... Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
2 Reactions
19 Replies
206 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,507
Posts
49,859,209
Back
Top Bottom