I will be short.
rules after wealth
1. utajiri bila watu ni useless. (power)
#mo leo hii anakutana na raisi wa fifa na caf easily kisa simba,
#easy business due to simba.
#anafatiliwa in...
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.
Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
Muvi hii ni ya kiswahili niliiangalia muda mrefu sio bongo muvi ni zile muvi nadhani zinafadhiliwa na wahisani.nakumbuka sehemu chache sana kwenye hiyo muvi.kuna watoto wawili wa kike na wa kiume...
Habari wana jamvi,
Nahitaji msaada na ushauri biashara ya spare za pikipiki.
Kuna uzi huku wa mda mrefu kuhusu hii biashara ila nimeshacoment hakuna majibu...naomben kama kuna anayefanya hii...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Baada ya kuuchoma na kuuharibu kabisa mji wa Kyrat Shmona na Upper Galliilee sasa Hezbollah wameanza kuuchakaza mji wa biashara wa Haifa
Ikumbukwe kuwa Haifa ndo mji kitovu cha uchumi na biashara...
Mim kiukwel sjawai kuwa single...yan toka nmejielewa..infwact...mim nilichelewa kdogo kuanza mapenz/kugonga..mim nilianza hayo mambo likizo ya kumaliza six.
Enewei ni hiv.kipind nmeanza .sikuwai...
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.