Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya...
8 Reactions
106 Replies
8K Views
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
14 Reactions
95 Replies
3K Views
Kupata ufafanuzi mkubwa wa kila njia, nunua kozi hii: Kuza Kipato Mtandaoni: Jinsi ya kutengeneza pesa na kukuza Biashara yako mtandaoni – Swahili Sphere 1. Online Marketing Research - Utafiti...
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda...
11 Reactions
82 Replies
1K Views
Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania...
8 Reactions
27 Replies
624 Views
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji...
39 Reactions
9K Replies
914K Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
66 Replies
2K Views
A
Anonymous
Hakuna chuo ambacho walimu ni Mungu watu kama Tabora Polytechnic college kuna madudu mengi yanafanyika hapa hasa kwenye ngazi ya Famasi Diploma mfano kuna mwalimu style yake aisee hapana inabidi...
1 Reactions
3 Replies
149 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,425
Posts
49,857,422
Back
Top Bottom