Viongozi wa dini waiomba serikali kuufungia mtandao wa kijamii wa Twitter ( X ) nchini kwani mtandao huo umeonekana ukivunja maadili na taratibu za nchi kwa kuhamasisha ushoga na usagaji...
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake.
Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu.
Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na...
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana.
Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.