Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu.
Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
Cha kwanza hizo Treni mzitunze haswa hasa hayo mabehewa Kitu ambacho kinaweza kumchefua mtu na kukimbilia mabasi ni uchafu wa Treni hasa zile za Kigoma mtu akifikiria anashuka kichwa kimejaa vumbi...
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Katibu mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania Allen Sisi ameitaka Serikali kuufungia Mitandao wa X kwa Sababu unahamasisha mapenzi ya Jinsia Moja
Source: Mwanahalisi Digital
Aidha Uvccm nao...
Naam Karibu hapa Kwa mahitaji wa CHETI cha kuzaliwa
Haina haja ya kwenda Tena Rita kufatilia cheti cha kuzaliwa, shughuli yote tunaifanya Kwa mtandao (eRitaService)
Unachotakiwa kufanya ni kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.