Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu.
Wasting his potential at Yanga.
Huyu hata Manchester United anapita.
Mange kimambi kila sehemu anapigwa spana na tayari anaonekana kituko mbele ya jamii na si ajabu hata nchi za magharibi wanamuona kituko.
Samia anazidi kupaa kwa sifa nyingi ndani na nje ya mipaka...
I will be short.
rules after wealth
1. Utajiri bila watu ni useless. (power)
Mo leo hii anakutana na raisi wa FIFA na CAF easily kisa simba,
Easy business due to simba.
Anafatiliwa in social...
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa jpm wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no...
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.