Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Kwenye ule mgogoro wa Ziwa Nyasa ndo Malawi walitaka vita na Tanganyika/Tanzania? Aisee ngoja nikaushe tu. Ndege inatafutwa siku 2 hapo hapo Lilongwe? Bado mnaomba Msaada dunia nzima. Hapo hapo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
“Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli...
Hello Good afternoon all,
Elina Tarkazikis anasema Artificial Intelligence (AI) inaweza kukupa majibu mengi mno hata yale usiyoyahitaji au kuyapenda. Anasema Artificial Intelligence Calculator...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.