Habarini za muda huu wadau!!
Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa.
Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa...
Iphone 13 pro .
Used Uk.
In very good condition
Gb 128
Bh 84.
TT✅
1.5ml only.
Comes with a box.
Ukinunua mbili Utapata kwa 1.450ml only.
0752850081
0783869998
Nipo DSM Ubungo.
Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli...
Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake.
Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika...
Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.