Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu.
Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi.
1. Maofisini.
2. Vyuoni.
Vionhozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
OPEN LETTER TO MADAM PRESIDENT
Your excellency, President @SuluhuSamia, I hope this letter reaches you in good health.
I intended to share with you these wise words from Ali Mufuruki, a...
DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.