Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe Ukimpata kama yeye Oa chap masta
1 Reactions
56 Replies
213 Views
Kama Wewe Mjomba Mtu uliweza Kutusaliti mwaka 1993 kiasi kwamba hadi Profesa Sarungi kila akikuona tu anakuita Azim Msaliti leo hii unapata wapi huu Uhalali wa Kutuasa wana Simba SC tumpe...
0 Reactions
2 Replies
21 Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
9 Reactions
320 Replies
6K Views
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi. Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange...
23 Reactions
2K Replies
316K Views
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii. Majasiri wengi...
4 Reactions
45 Replies
663 Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
18 Reactions
120 Replies
3K Views
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao: 1. Kwa ndugu zao 2. Nchi yenye vivutio vingi 3. Nchi yenye wasanii bora 4. Nchi yenye uongozi Bora 5. Nchi ya wakarimu Wewe...
4 Reactions
44 Replies
722 Views
Wapendwa natafuta rafik wa kubadirishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mm ni mwanamke wa miaka 33 ninae jielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
3 Reactions
14 Replies
15 Views
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa...
2 Reactions
43 Replies
1K Views
Kuna mwanamke ni mke wa mtu ila inaonekana amenitamani, hili si tatizo kwangu maana nalimudu. Tatizo langu ni pale aliposema nikapime group langu la damu alafu ni mwambie, hili kalirudia sana na...
2 Reactions
11 Replies
136 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,387
Posts
49,856,293
Back
Top Bottom