Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
4 Reactions
15 Replies
107 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
5 Reactions
31 Replies
83 Views
Habari nipo Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike sichagui dini Wala kabila ila awe mwenye umri wa miaka 18-30 ili baadae awe mke wangu aliyetayari anitafute pm ntampa namba yangu ila awe mkweli.
2 Reactions
71 Replies
269 Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake. Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu...
4 Reactions
28 Replies
653 Views
woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii... majasiri...
2 Reactions
3 Replies
20 Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nchi ya Namibia imefanya mambo makubwa sana, mpk unajiuliza Tanzania tulikosea wapi siye? Nadhani tumefika hapa kwasabb ya siasa chafu na uongozi mbovu. Namibia ina rasilimali gani za kuizidi...
2 Reactions
39 Replies
864 Views
Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
5 Reactions
14 Replies
90 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,325
Posts
49,854,301
Back
Top Bottom