Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku 00...
4 Reactions
74 Replies
544 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
6 Reactions
57 Replies
309 Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
15 Reactions
91 Replies
2K Views
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania...
3 Reactions
10 Replies
162 Views
1 Pet 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe...
0 Reactions
11 Replies
57 Views
Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu...
12 Reactions
100 Replies
4K Views
Wakuu nina PC hapa ya muda sana yaan GEN1 series ya Hp chromebook!! Inatumia os ya chrome. Hivi ukitaka iwe na window inawezkana? Maana mimi sielewi ilivyo ilivyo!
4 Reactions
21 Replies
589 Views
Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
5 Reactions
26 Replies
173 Views
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
13 Reactions
45 Replies
753 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,330
Posts
49,854,564
Back
Top Bottom