Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote.
Kule Manyara naibu Waziri...
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na...
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CHADEMA, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais...
Habar ndugu zangu jamiiforums
.
Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei mara dufu .kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.