Peace,
Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi
Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama
Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---...
Habari wanajamvi.
Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.