Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja.... ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo.. Ukizingatia ni wale watu wa kubwatuka allah akbar...
2 Reactions
10 Replies
139 Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
11 Reactions
93 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu, hulka ya huyu mama yetu kipenzi inaendana na Maulid Kitenge au Mwijaku. Amteue mmoja kati ya hawa vijana kuja kuchukua kitengo. Haya ni maoni yangu japo sipendezwi na mambo yao...
2 Reactions
10 Replies
173 Views
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
9 Reactions
20 Replies
607 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
230 Reactions
402K Replies
33M Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Habarini jamani, Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo Kwa sasa ni mke wa mtu...
1 Reactions
32 Replies
795 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa. Naomba maoni yenu kuhusu mambo...
0 Reactions
23 Replies
362 Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
5 Reactions
225 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,072
Posts
49,848,599
Back
Top Bottom