Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka...
Ni siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake...
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO.
1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
Wakati JPM akizindua rada mpya alisema Tanzania sasa inaweza kuliona anga la maziwa makuu na kusini mwa Afrika kwa usahihi zaidi kuliko nchi zote Ukanda tajwa.
Kwa maana nyingine Tanzania ni kama...
Wasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa...
Je umeshawahi japo siku moja moja kukaa na wanao na kuangalia cattoon na kuona yaliyomo?
Kuna jamaa mmoja wa karibu sana aliniambia siku moja amekaa home amechill na wanae wanaangalia...
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.
Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na...
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda...
MIe kama mteja wa mda mrefu wa voda nimepata na ukakasi kidogo , ni hivii awa jamaa mara nyingine unajuta deni limelipwa wao hawajakata ,wanaendelea kulitambua deni na mda unafika wanakupiga fine...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.