Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri...
Sera ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania "Samianomics " inayosimamiwa na mwanadiplomasia namba 1 Rais Samia imeiwezesha Tanzania kuipita Nigeria na kuwa Mshirika mkubwa namba 2 wa India...
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Msajili wa Hazina Mheshimiwa Nehemia Mchechu ,amesema ya kuwa wapo katika hatua za Mwisho katika kukamilisha mfumo maalumu utakaosaidia na kuiwezesha mamlaka ya uteuzi...
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals...
Naunga mkono hoja ya RC Chalamila,endelea kuwapiga spana.
Haiwezekani mtu mzima una miaka kuanzia 30 na kuendelea uwe unamlaumu Samia Kwa umaskini wako,Hilo halipo na hii tabia ndio inafanya watu...
Kwakweli hii kitu imekuwa kawaida kabisa kwa sasa.
Wadada wetu tena wengine kwa kupenda wenyewe kabisa wanaruhusu kufanyiwa mchezo huu. Najiuliza tatizo ni nini hasa?
Ni mfumo wa maisha...
Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya...
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.