Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
Kiukweli viongozi huwa wanatukosea sana wanapokalia dhamana za Madaraka na hatunaga namna ya kuwakemea kwa sababu wanajilinda mno kikanuni
Mkuu wa KKKT mstaafu Askofu Dr Shoo amefungua njia kwa...
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi
Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
Gharama za vifurushi na ukata vimenifanya nibadili resolution ya kuview Youtube kutoka 720HD to 144
Na umasikini huu kuna mtu ananichukia na kuniundia magenge!! Walimwengu sio bora Wali-maharage
Ndugu zangu Watanzania,
Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya baraza la wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia...
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.