WAUNGWANA.
Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
Nikiangalia mwelekeo unavyoenda siyo kwa bahati mbaya. Ni mpango ulisukwa muda mrefu sana. Sasa hivi upo katika execution tu. Na bahati mbaya Glezabhai naye kaingia kwenye mfumo. Goli lazima...
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na...
Habarini wadau.
Naongea kwa masikitiko makubwa hela za likizo mpaka sasa wilaya nyang'hwale mkoa wa geita mambo ni kimya .
Hivi nyie maafsa mnaohusika mbona hamna huruma jamani tumefunga...
Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa...
Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje...
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu , yani parachichi moja hapo ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Habari
Naomba ushauri wa kununua ama kujenga nyumba iliyo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa Skwea mita 100.
Ambayo ramani yake ni nyumba ya vyumba viwili, choo cha Public, jiko na sebule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.