Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

"Umeamkaje" kwa lugha yako unasemaje Mimi nasema "Muinuke zeze"
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Kuna baadhi ya mawaziri wa awamu ya sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
1 Reactions
5 Replies
17 Views
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
16 Reactions
41 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lisu...
1 Reactions
17 Replies
598 Views
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar...
71 Reactions
6K Replies
425K Views
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara Kuna mahali nilikua na...
3 Reactions
2 Replies
52 Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
7 Reactions
49 Replies
585 Views
Siku ya tarehe 9 mwezi wa 6, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiri Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere...
0 Reactions
3 Replies
25 Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
21 Reactions
195 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,781
Posts
49,841,237
Back
Top Bottom