Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi. Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni? Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi...
2 Reactions
31 Replies
380 Views
Hivi tuseme ukweli, ni mambo mangapi mazuri ambayo RC Makonda kawatendea wamama na wanawake wanaodhulumiwa kila uchao na wengine mpaka anawajengea kwa kutozaa na kutelekezwa na ndugu zao, mbona...
30 Reactions
226 Replies
3K Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
13 Reactions
125 Replies
4K Views
Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kati ya raia Milioni 62 wa Taifa hilo, wanatarajiwa kushiriki katika mchakato wa Upigaji Kura za Uchaguzi Mkuu unafanyika leo Mei 29, 2024. Imeelezwa...
0 Reactions
5 Replies
75 Views
Babangu ana miaka 59, lakini wazazi wake wote wametangulia mbele za haki. Je, ni yatima?
2 Reactions
13 Replies
159 Views
To the one who makes every day sweeter than the last.... The most amazing, funny, and sometimes infuriating person I know... You're not just my love, you're my best friend, my confidant, and my...
4 Reactions
18 Replies
19 Views
Muuza madafu wa ikulu alusema amecheza boxing na karate kidogo, akasema ukija bila gadi anagawa wastani kwa idadi. Hii mliielewaje?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana. na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko! Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa? Karibuni tujadili utani!
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
0 Reactions
45 Replies
341 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,146
Posts
49,738,871
Back
Top Bottom