Ndege ya Jeshi la Ulinzi la Malawi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima na wengine tisa imetoweka baada ya kuondoka Mji mkuu, Lilongwe asubuhi ya leo.
Rais wa Malawi...
Wasalaam hizi namba 0696447569 0695263962, 0742696669,0683374286, 0696447567, 0719249958. Ni watu wanaodai wao ni wakusanyaji madeni wa hizi online financial services ambazo zinatoa huduma za...
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
Ndugu Wanajamvi,
Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
Habari wapendwa.
Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife.
Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), amesema kuwa kwa sasa mashirika mengi yanayotetea haki za binadamu yanapitia changamoto ya ukosefu wa rasilimali fedha jambo ambalo...
Huyo ni mwalimu hapa Mangβula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni...
Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskel ya kulala, Wiki iliyopita alikuwa Burundi kwa sasa kaingoa Tanzania
Video imewekwa kwa ubora mdogo kuzingatia matumizi kidogo ya bando
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.