Kwenye hii dunia ukipata nafasi ya kumuhukumu binadamu mwenzako kamwe usimwone yeye peke yake kuna wengine wengi wanaomtegemea usio wajua wako nyuma ya maisha yake.
#TAKARI KABLA YA KUMDHURU...
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff.
Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
WAUNGWANA.
Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
Haya yalikua maongezi murua.
Ilikua mwaka 2004, pale ethiopia na huyo rafiki yangu ambae alifika pale kuwekeza kwenye maji hasa maeneo makame.
Katika story tuligusia jinsi viongozi wakuu wa afrika...
Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.