Waziri wa Ardhi Jerry Silaa amewapiga marufuku wenyeviti wa mitaa na Vijiji kuuza Ardhi na kwamba kuanzia Sasa kazi hiyo itafanywa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji tuu.
Aidha bwana Silaa...
Usiku wa jana kulifanyika hafla ya utoaji Tuzo za Wanamichezo bora mwaka 2023 katika ukumbi
wa The Super Dome
Ifuatayo ni orodha ya waliobeba tuzo za wanamichezo Bora mwaka 2024
1.Timu bora ya...
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre.
Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
Habari wapendwa.
Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife.
Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta...
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni...
This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za...
kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.