Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
8 Reactions
189 Replies
2K Views
Mnao kwenda ughaibuni nawapa muongozo usije kuwa marehemu huko. miaka 2004 katika utafutaji wangu wa kusafiri niliingia jiji chicago nikiwa maeneo ya northbrook. Kutokana na umiliki silaha kuwa...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari wanaforum naomba kijuzwa Data au Mb zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Gharama za vifurushi na ukata vimenifanya nibadili resolution ya kuview Youtube kutoka 720HD to 144 Na umasikini huu kuna mtu ananichukia na kuniundia magenge!! Walimwengu sio bora Wali-maharage
4 Reactions
12 Replies
129 Views
Nashangaa sana na inashangaza sana Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!! Tulipohoji tumeambiwa sio pesa...
1 Reactions
8 Replies
53 Views
Assalam aleikyum guys Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi...
5 Reactions
27 Replies
645 Views
Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
85 Reactions
996 Replies
20K Views
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote...
32 Reactions
59 Replies
3K Views
Habali ya jumapili wanabodi, Napenda kutoa hii taarifa kuhusu hospital ya private ya CHAULA iko Songwe Vwawa. Ukimpelekea mgonjwa wanawapa majibu ya uongo tena magonjwa makubwa ili mtishike...
4 Reactions
15 Replies
269 Views
Ni kwanini hizi nchi za bara la Asia zinagawa PhD za bure kwa viongozi wa kiafrika tu na si kutoka mabara mengine? Labda mawazo ya wengi nitapata fununu kichwa kipate kutulia
0 Reactions
4 Replies
49 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,818
Posts
49,842,440
Back
Top Bottom