Despite kupewe onyo kali lilitolewa na mahakama ya ICJ siku chache zilizopita, Israel imeendelea kushambulia kambi ya wapalestina Rafah kwa kuilipua na mabomu yenye paundi 2000 zaidi ya mara...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
ni mtumishi mwenye karama ya kipekee sana.
na hata anaowabaini hawakuwajibika vyema kwenye wajibu na majukumu yao mbalimbali ipasavyo, wana kiri kuzembea au kukosea, wanajutia na hawajiskii...
Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA.
Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa.
Kwa minajili hiyo kwa sasa...
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu...
BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP
20: Ali Kiba - Mwana
19: Diamond - Mbagala
18: Dully Sykes - Dhahabu
17: JI - Kidato Kimoja
16: 2 Berries - Na Wewe Tu
15: Dully Sykes - Dhahabu
14: Z...
Ukiona maisha yako hayaeleweki eleweki, kupata milo miwili au mitatu ni shida, juwa una mapungufu katika hivi vitu vitatu:-
Uaminifu
Kujituma
Unaona aibu
Wapo watu wengi wana mitaji midogo...
Ujue siwaelewi.
Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.