Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hi, Kuna kitu nashangaa kuhusu sisi wanaume, naongelea from experience nliyoona from washkaji wangu wa karibu, utakuta mwanaume ni malaya mbwa, michepuko anayo kama yote, na malaya ananunua...
8 Reactions
32 Replies
800 Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
14 Reactions
71 Replies
951 Views
https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm Huko ni Burkina Faso. Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka...
29 Reactions
107 Replies
2K Views
Hii kitu ina hasara nyingi tofauti na faida yake, hivi unawezaje kung'ang'ania biashara isiyokuwa na faida.? Ndugu zangu sote tu mashuhuda pombe ina madhara makubwa hasa unapokuwa addicted...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:- Mwanaume aliyekutoa Bikra [aliyeku'bikiri], hapa hata kama wewe ni malaika utamuumiza sana mwanaume, hatokaa asahau, ataumi sana...
1 Reactions
24 Replies
443 Views
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.
1 Reactions
2 Replies
15 Views
Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata...
4 Reactions
42 Replies
649 Views
Binafsi kuzaliwa mtu wa jamii ya watu mweusi kumegeuka mkosi na sio tu kuzaliwa katika jamii ya mtu mweusi pia kuzaliwa Afrika& muafrika na pia sio tu kuzaliwa muafrika pia kuzaliwa Tanzania na...
1 Reactions
9 Replies
82 Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
2 Reactions
28 Replies
280 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,962
Posts
49,846,378
Back
Top Bottom