Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndege ya Jeshi la Ulinzi la Malawi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima na wengine tisa imetoweka baada ya kuondoka Mji mkuu, Lilongwe asubuhi ya leo. Rais wa Malawi...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
3 Reactions
67 Replies
456 Views
Habari wapendwa. Naomba utizame majani ya hili ua then unitajie dawa inayoweza kuokoa hili ua lisife. Nitabarikiwa kama atanishauri mtu mwenye uhakika na anachoongea mana mpaka nakuja kutafuta...
5 Reactions
51 Replies
866 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
15 Reactions
451 Replies
8K Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
21 Reactions
88 Replies
1K Views
Ni mfaransa anaezunguka nchi mbali mbali na baiskel ya kulala, Wiki iliyopita alikuwa Burundi kwa sasa kaingoa Tanzania Video imewekwa kwa ubora mdogo kuzingatia matumizi kidogo ya bando
0 Reactions
3 Replies
137 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
444 Replies
40K Views
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
11 Reactions
191 Replies
2K Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
33 Reactions
96 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,981
Posts
49,846,725
Back
Top Bottom