Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini...
3 Reactions
14 Replies
96 Views
Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa Efatha anatia aibu watumishi. Hapo unakuta kuna wamama wanaamini Mwingira ndio mlezi wao wa...
4 Reactions
24 Replies
969 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu mbalimbali wenye...
2 Reactions
28 Replies
206 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
12 Reactions
385 Replies
6K Views
Habari wanaforums, naomba kujuzwa Data au MB zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
31 Reactions
104 Replies
2K Views
Tanzania ndio nchi pekee iliyoteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutoka ukanda wa CECAFA kuwa kituo cha mafunzo ya VAR. Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, vituo vingine ni Afrika...
0 Reactions
8 Replies
71 Views
Namshukuru Mungu leo nimetimiza miaka 23. Long may I reign.
12 Reactions
125 Replies
3K Views
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo. Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi...
1 Reactions
2 Replies
62 Views
Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga. Kapuya amesema...
1 Reactions
6 Replies
115 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,900
Posts
49,845,119
Back
Top Bottom