Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff.
Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
Kumbe Wapambe aka CHAWA ndio wamewatisha wabunge kwamba 2025 Uchaguzi utakuwa mgumu sana kwahiyo maandalizi ya Kampeni yaanze sasa
Wabunge wamejawa hofu na sasa wanamwaga tu Posho zao za mjengoni...
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
Wakuu habari za mchana.
Naomba kufahamu iwapo naweza kuongeza ukubwa wa kiwanja changu ambacho nimeongeza kwa kufanya land reclamation na kubadili hati kuwa na ukubwa zaidi. Naomba kushauri wakuu
Wanaukumbi.
🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI.
“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
Katika jinai ya kikatili ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.