Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango...
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu...
Hakuna jinsi.
Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S.
Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical...
Ni siku nyingine tena, nawasalimu
Hapa simaanishi hali ya kiuchumi bali hali ya kimaadili mitaa imechafuka sana ila tunaowaita viongozi wapo kimya sijui maana ya uongozi ni nini?
Wanawake...
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu...
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.