Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

[emoji599]IBRAHIM BACCA AMESHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZANZIBAR MBELE YA FEISAL SALUM (AZAM) NA MUDATHIR YAHYA (YANGA). Una swali lolote umejiuliza?
1 Reactions
7 Replies
156 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
13 Reactions
416 Replies
8K Views
Ndugu Wanajamvi, Ninawaletea mjadala wenye uzito wa kielimu na kifikra kuhusu maendeleo mapya katika teknolojia ya uzazi wa mpango kwa wanaume. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mjadala...
1 Reactions
11 Replies
140 Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
31 Reactions
91 Replies
2K Views
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni...
7 Reactions
38 Replies
338 Views
Imekuwa kawaida kwa mods kufuta uzi kwa sababu yawezekana nao wamekuwa wafuasi wa watu fulani hapa JF. Mkuu Max, JF umeijenga katika misingi ya hoja, haki, kuheshimiana na kubishana kwa hoja sio...
2 Reactions
11 Replies
70 Views
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu. Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
10 Reactions
113 Replies
3K Views
Tanzania ndio nchi pekee iliyoteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kutoka ukanda wa CECAFA kuwa kituo cha mafunzo ya VAR. Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, vituo vingine ni Afrika...
1 Reactions
10 Replies
140 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,931
Posts
49,845,836
Back
Top Bottom