Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda huu kuna channel inaonyesha nyani katika moja ya tv stations hapa east afrika lakini pia kuna kikao cha wanasiasa wala nchi aka bunge kinaendelea. Kwa utashi wangu naangalia nyani kuliko bunge.
1 Reactions
3 Replies
68 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
21 Reactions
282 Replies
7K Views
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu...
9 Reactions
43 Replies
650 Views
BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP 20: Ali Kiba - Mwana 19: Diamond - Mbagala 18: Dully Sykes - Dhahabu 17: JI - Kidato Kimoja 16: 2 Berries - Na Wewe Tu 15: Dully Sykes - Dhahabu 14: Z...
0 Reactions
10 Replies
88 Views
Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya...
0 Reactions
42 Replies
341 Views
Babangu ana miaka 59, lakini wazazi wake wote wametangulia mbele za haki. Je, ni yatima?
2 Reactions
9 Replies
159 Views
Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
0 Reactions
1 Replies
35 Views
Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake...
0 Reactions
21 Replies
122 Views
To the one who makes every day sweeter than the last.... The most amazing, funny, and sometimes infuriating person I know... You're not just my love, you're my best friend, my confidant, and my...
0 Reactions
2 Replies
13 Views
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
24 Reactions
106 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,140
Posts
49,738,799
Back
Top Bottom