Mpaka muda huu inatafutwa haijulikani ilipo na muda wowote Rais wa Malawi anaenda Kuzungumza na Wamalawi.
---
An aircraft carrying Malawi's Vice-President Saulos Chilima and nine others has gone...
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA
Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
JamiiForums kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa miaka miwili (Mei 2022 hadi Mei 2024) imekuwa ikifanya kampeni za kupambana na Rushwa kwenye Sekta...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu
Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu...
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6
Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu
#msaka_ajira
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo...
Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe.
Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.