Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka...
3 Reactions
39 Replies
541 Views
Habari wanaforums, naomba kijuzwa Data au Mb zinatengenezwa wapi, haiwezekani mtu yeyote kitaa akazitengeneza kimagendo?
4 Reactions
12 Replies
187 Views
Nashangaa sana na inashangaza sana Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!! Rais Samia kwa jina lake na pesa...
1 Reactions
12 Replies
198 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Habari za uzima Wana jf🙏 Kwa heshima kubwa Sana nimekuja kwenu hapa. Pamoja na kwamba hapa Kuna utani na mizaha ya hapa na pale Naomba tuiweke kando Tujadiri hili. Mimi ni mfugaji mzoefu na...
6 Reactions
57 Replies
1K Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
8 Reactions
269 Replies
3K Views
Wakuu samahani Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na...
6 Reactions
34 Replies
695 Views
Wakuu kwema? Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa...
1 Reactions
7 Replies
113 Views
Leo napita youtube naona bubu anaimba tena cha kushangaza naona anazidi kutrend https://www.youtube.com/watch?v=ivdazTpwhUo
1 Reactions
2 Replies
24 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
10 Reactions
33 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,828
Posts
49,842,922
Back
Top Bottom