Heshima sana wanajamvi,
Nimekuwa na utaratibu wa kutembelea hifadhi zetu za wanyama kwa muda mrefu sasa labda huu ni mwaka wa 10 au zaidi.
Nimetembelea hifadhi ya Serengeti zaidi ya mara nne au...
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana...
Hadi sasa haieleweki Rais Ruto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia Serikali imetumia Zaidi ya Ksh...
MAZUNGUMZO GROUP LA WATSUP LA CHAMPIONS LEAGUE
Semaji Mamelod : Mnyamaaa 😭😭
Semaji Al Ahly : Pacha naumia sana kwa ajili yako
Semaji Mazembe : Jirani tutakumic sana Champions League
Mimi...
Wanaume sahihi hatupati wake sahihi , wake sahihi hawapati waume sahihi 😃 Dunia ngumu hii .. hivi kwanini watu sahihi huwa hatukutanagi . Nahisi shetani ana mkono wake katika hili. Unaona dada wa...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwa hawataki ndani ya viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya Sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi.
Kwanza ifahamikw...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na Mungu lakini...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.