Wazee kwema!!!!!
Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa.
Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa8 au wa7.
Huyu...
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
Story hii ya CPA
CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje
Kodi 350k
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k...
Naisaka No ya mama mkwe Leo hadi niipate,na niongee nae!!!! Japo nimpe hiii!!!! Mbona hanitambulishi tu jamani Leo najitambulisha mwenyewe!!!!!! Nimechoka jamani.....
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.