Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
17 Reactions
76 Replies
906 Views
Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga...
2 Reactions
11 Replies
77 Views
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
1 Reactions
14 Replies
357 Views
Habari wanajamii forums, Nimeteuliwa kuwa reviewer wa Jarida la Matumizi ya akili bandia katika uhandisi (Journal of Engineering Applications na Artificial Inteligence). Hivyo kwa wanaopenda...
3 Reactions
15 Replies
179 Views
Habari za jioni wanajukwaa nataka tusome uzi huu kwa umakini alafu mwishoni mtaelewa ujumbe naokusudia. UTANGULIZI Mnamo mwaka 1939 vuguvugu la vita kuu ya pili ya dunia lilishika kasi ambapo...
30 Reactions
33 Replies
6K Views
Au chadema au lisu wameona watanzania hawana reasoning capacity wakaona waanze kiwadanganga baada ya kuona mama anafanya kazi zinazogusa kila mtu. Ndo mana jpm alitaka kliua mana ni liongo na lijuaji
3 Reactions
75 Replies
469 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Nimekaa mahali maeneo ya magomeni karibu na bara bara kuu nikasikia hilo tangazo, wakitangaza kupitia gari ndogo maarufu kama "KIRIKUU" Kwa mujibu wa...
10 Reactions
96 Replies
2K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
10 Reactions
113 Replies
11K Views
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku. Bila haya maji, Jiji la Dar liko...
3 Reactions
2 Replies
86 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,591
Posts
49,835,237
Back
Top Bottom