Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu. Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
14 Reactions
138 Replies
2K Views
Au chadema au lisu wameona watanzania hawana reasoning capacity wakaona waanze kiwadanganga baada ya kuona mama anafanya kazi zinazogusa kila mtu. Ndo mana jpm alitaka kliua mana ni liongo na lijuaji
3 Reactions
72 Replies
404 Views
Hello! Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara. Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
29 Reactions
109 Replies
2K Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
22 Reactions
179 Replies
2K Views
Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya...
10 Reactions
235 Replies
18K Views
Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga...
1 Reactions
6 Replies
37 Views
Huyu juma lokole anafeli sana, ametengeneza kautafiti feki, kinachoonesha makabila 10 yenye wanawake wazuri nchii hii, na kuwaweka nje ya Kumi bora wachaga. Listi yake 1.Wairaki 2.Warangi...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
History sijui nielezeje, Nilitengana na baby mama wangu, kwa muda mrefu, nakuja kumtafuta tena mshenzi yule nakuta kashaolewa na anakachanga. Hapo ndipo nikaona option nikumchukua best friend...
5 Reactions
6 Replies
119 Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
0 Reactions
3 Replies
62 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje Msomi, mtangazaji, mchekeshaji, mhamasishaji (influencer) na mchekeshaji maarufu DC Mwijaku mtu wa maana sana halaaa amejiwa juu na baadhi ya waislam kwenye ukurasa wake...
1 Reactions
3 Replies
63 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,592
Posts
49,835,181
Back
Top Bottom