Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Niliweka mada jana hapa kuhusiana na matumizi ya intaneti kwa mitandao ya kijamii inavyoathiri vijana. Leo sitauma sana. Nikasema, intaneti isishushwe gharama bali zipande maana kwa mitandao hii...
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu....Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi
Tokea siku zote hizo ni jana wameokoa mateka wanne tu tena kwa msaada wa Delta force...
Leo nimekuja kushare nanyi hii story ofcourse ni muda iko moyoni mwangu ila nimeamua kushare nanyi ili mjue kwa nini kila siku mimi mtu wa kubadilisha wasichana,
Ni hivi miaka Saba Nyuma wakati...
Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku.
Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali.
Mimi...
Au chadema au lisu wameona watanzania hawana reasoning capacity wakaona waanze kiwadanganga baada ya kuona mama anafanya kazi zinazogusa kila mtu.
Ndo mana jpm alitaka kliua mana ni liongo na lijuaji
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani.
Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu.
Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.