Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu. Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata. Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na...
1 Reactions
157 Replies
13K Views
Moja ya utamaduni wa ajabu tuliokopi ingawa sijui tumekopi wapi ni wa yule kijana anayetqrajia kuoa kuingia au kuwa na kipindi kwenye sendoff. Yaani watu wamekusanyika kumuaga binti yao na kumpa...
6 Reactions
10 Replies
193 Views
Binti huyu ameajiriwa kuuza duka la dada mmoja jirani na ofisini kwangu, anaonekana anajiheshimu na anaonekana mcha mungu, mimi binafsi nlishatendwa na niliyekuwa naye hivyo nimechoka na haya...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari za holday wanaJF! Hope mnaendelea vizuri na kazi zenu... naombeni ushauri wenu........ Jamani mimi nina rafiki yangu kipenzi ambaye ananiwazisha sana kwa hali aliyo nayo maana...
5 Reactions
201 Replies
15K Views
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji...
4 Reactions
56 Replies
776 Views
Jana nimeduwazwa sana baada ya mke wa rafiki yangu kunitamkia wazi kuwa ananipenda na anataka kutoka na mimi. Tangu nifahamiane naye miaka takribani mitano sasa tumekuwa tukiheshimiana naye sana...
6 Reactions
103 Replies
9K Views
Wanakumbi 🚨🇮🇱GANTZ TO ANNOUNCE PARTY'S EXIT FROM ISRAELI GOVT National Unity chairman Benny Gantz will hold a press conference today at 1:30 p.m. ET, after canceling a Saturday announcement of...
3 Reactions
46 Replies
679 Views
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake...
1 Reactions
187 Replies
11K Views
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwaaga rasmi. Naondoka hapa kwetu Njinjo kesho naelekea wilaya ya Liwale ambapo nimepata kibarua kwa mzee mmoja. Nijuavyo huko Mpigamiti hakuna Internet, hivyo...
1 Reactions
6 Replies
796 Views
Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi. Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35. Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50...
2 Reactions
47 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,762
Posts
49,840,649
Back
Top Bottom