Mdororo au anguko la HopHop Tz!?
Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu".
Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
Wakuu habari za mchana.
Naomba kufahamu iwapo naweza kuongeza ukubwa wa kiwanja changu ambacho nimeongeza kwa kufanya land reclamation na kubadili hati kuwa na ukubwa zaidi. Naomba kushauri wakuu
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu.
Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK.
Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia.
Kabla nilijuona ni mtu nisiye na...
Rafiki yangu mpendwa,
Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo.
Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa magaharibi na marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu...
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku.
Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.