===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani.
Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C...
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi.
Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu.
Noa Argamani, ambaye utekaji...
Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia.
Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa,
Hapa chini nimeambatanisha dawa...
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika.
Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua...
Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu
Wale wa tafuta hela wasiguse uzi wangu, tusijepandishana kisukari, NIMEMALIZA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.