Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naisaka No ya mama mkwe Leo hadi niipate,na niongee nae!!!! Japo nimpe hiii!!!! Mbona hanitambulishi tu jamani Leo najitambulisha mwenyewe!!!!!! Nimechoka jamani.....
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo Kuna dawa asili natumia Sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa...
1 Reactions
7 Replies
10 Views
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
0 Reactions
5 Replies
51 Views
Rafiki yangu mpendwa, Tasnia ya elimu ya maendeleo binafsi imetawaliwa na maarifa chanya juu ya mafanikio. Imekuwa inafundishwa na kusisitizwa watu kufikiri chanya ili kuweza kuchukua hatua na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. 𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa...
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto...
25 Reactions
66 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu. Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo...
4 Reactions
5 Replies
182 Views
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe. Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu. Niwakumbushe...
3 Reactions
76 Replies
2K Views
Wakuu bila shaka ni wazima, bila shaka wote tunaelewa maisha yalivyojaa changamoto za kila aina. Kuna watu ni wepesi kueleza yale yanayowasibu, ila kuna akina sisi ambao huwa tunakufa na tai...
7 Reactions
18 Replies
211 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,557
Posts
49,833,899
Back
Top Bottom