Habari zenu wakuu?
Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili?
Iko hivi ndani ya miaka...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
WAUNGWANA.
Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka...
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.