Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanawake wa kikristo shida ipo wapi?
0 Reactions
3 Replies
23 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Singida mjini Mhe. Shaibu amesema Katibu wa Wazazi wa CCM Dr Ali Happi alipofika Singida alifanya Siasa ndani ya msikiti ambao Shaibu anaabudu hapo. Happi alisema Chadema...
2 Reactions
2 Replies
57 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri...
2 Reactions
7 Replies
264 Views
Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu. Je, mpaka sasa Tume ya...
1 Reactions
28 Replies
282 Views
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
18 Reactions
59 Replies
1K Views
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022...
7 Reactions
52 Replies
778 Views
Unaweza kuona kama umechanganyikiwa au huna akili lakini ndo hivyo🤣😂 kama Mimi naweza kufunga madirisha na mlango nikakaa ndani kimyaa, Sasa huo sio afya ya akili kweli😆 Sina ata mia mbovu...
4 Reactions
7 Replies
8 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
6 Reactions
164 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,542
Posts
49,833,576
Back
Top Bottom